Friday 12 February 2010

historia ya zanzibar


Nakushukuru kwa kuileta hii mada muhimu kuhusu marehemu Abdulrahman Mohammed Babu khasa katika wakati huu kwa sababu ni mada ambayo inahusu ya sasa hivi ya Zanzibar na ya mustakbal wa Zanzibar na sio ya tathmini ya Babu peke yake.


Nafikiri wakati hauko mbali kumbukumbu ya Babu kuja kuwekwa sawa. Wazanzibari tuna mambo mengi sana ya kuyaweka mahala yanapostahiki kuwekwa.


Kisiasa, Wazungu hawakumpenda Babu na si kwa sababu alikuwa Mkoministi au Msoshalisti. Huo “Ukoministi” wa Babu ulitumiwa vizuri na Wazungu kulifunika kombe lao…apite.


Wazungu walimtumia Babu kama ni kisingizio tu cha kuiwachia Zanzibar imezwe na waliyemtaka aimeze. Wazungu hao hao wanakubali kuwa hakuna mwanasiasa aliyekuwa shupavu Zanzibar kama Babu na ripoti ya CIA inamalizia kwa kusema hivi:


“Able, aggressive, extremely opportunistic, and charming – Babu was by all odds the most gifted of the Zanzibar government leaders. Moreover, he had powerful contacts. His great liability was that he was Arab. He and his Umma Party followers were always vulnerable on that account. On the whole, he was considered by most observers, to be the man most likely to emerge as the real power in Zanzibar.”


Ripoti inaendelea:


“The possibility that Babu and his followers might come to dominate the Government of Zanzibar was an anathema; to Nyerere, it would have been a repudiation of the Zanzibar revolution…Nyerere could have been expected to do anything and everything in his power to prevent such an eventuality.”


Bahati mbaya Babau akikiona kila kitu kwa miwani buluu ya “class” na kila pahala akiona buluu ya “class.” Wenzake alotaka kushirikiana nao hawakujali kama yeye ni mpigania haki za wanyonge. Walimvalia miwani yenye kuona kitu kimoja tu, nacho ni Uwarabu = Uislamu.


Babu alilirukia rikwama la mapinduzi ambalo nahodha wake hakutaka kuwa karibu na Janab wa “Kiarabu.” Masikini Babu akavalishwa blanketi la kuwa yeye ndo mpinduzi mkubwa kwa kutarajia kuwa atakuja kupata nafasi ya kuja kuyafanya mapinduzi yake na kuinusuru Zanzibar lakini ilikuwa tayari haiwezekani mwisho kwa sababu haikuwezekana mwanzo.


Babu atakuja kuhukumiwa vingeni na wako watakaokuja kumsameh na wako wachache watakaokuja kuendelea kumuonea huruma.


Babu aliiependa sana Zanzibar lakini mapenzi yake yalikuwa ya aina nyingine kabisa na mapenzi ya waliomtumia kwa yao, na yeye kuwatumia kwa yake, na kumfanya Babu kuwa ndio mbaya wa wabaya kumbe wao walitaka kuihalalisha khiyana yao juu ya Zanzibar kwa kuonyesha kuwa hata “Mwarabu” yuko nao katika kuifisidi Zanzibar kwa hiyo mapinduzi hayakuwa dhidi ya Waarabu = Uislam.


Kila kiongozi mwenye kuitetea Zanzibar anaonekana ni Mwarabu tu. Akisema ni Mshirazi basi anafahamika moja kwa moja kuwa ni Mwarabu. Akisema ni Mpemba basi ndo usiseme. Akitoka bara na akatafakhari kuwa ni Muafrika Muislamu basi hilo ndo jaarabu lenyewe! Basi hii “poo simo! mimi ni Mgazija, mimi ni Mhadimu, mimi ni Musilamu Muafrika, mimi ni Mhadhrami, lakini mimi ni Mhindi bwana!” ni kujifanya karagosi ndani ya mikono ya adui khasa wa Zanzibar.


Ukishakataa kama wewe si Mwarabu wakati Uwarabu una maana nyengine ambayo ni kinyume unavofikiria wewe, basi tayari, kwa kutowa mfano, umeshageuzwa mbwa mwenye kulitafuna gongo kumbe gongo limeshikwa na mkono mrefu ulioko upande wa pili wa Zanzibar. Babu alitafunishwa gongo na yeye akafikiri anaukata mkono wa adui khasa wa Zanzibar – tabaka za kijamii. Kumbe sivyo.


Mapinduzi yamekwisha, imekuja Jamhuri, umekuja Muungano, kimekuja chama kimoja, vimekuja vyama vingi na umri unakwenda. Lakini kitu kimoja hakijabadilika hata kama hao Waarabu hawako tena kwenye utawala. Tumeshakiona lakini bado hatujakikubali basi na mchezo unaochezewa Zanzibar unaendelea na utaendelea.


Komred Babu hakuufahamu mchezo na alipocheza nao ndipo ulipomcheza. Waliokuwa hawana chuki ya Uaarabu kama Eritreia na kwengineko walimuhishimu na kumuenzi.


Labda kuna siku na Zanzibar itamuenzi baada ya kutambua kuwa kumbe hakuwa alivotaka afahamike na kumbe mambo yalikuwa na wenyewe ambao hata yeye Babu na uwanamapinduzi wake wote wa kujifanya dhidi ya ubeberu na umwinyi wa Kiarabu kumbe na yeye alionekana na kufahamika kuwa ndo yuleyule, ndo huyohuyo Mwarabu.


Mwarabu mbaya tu akiwa mbaya akiwa mzuri maana yake Muislamu mbaya tu na hakuna Muislamu mzuri na mbaya. Tathmini ya Babu itakuja kuwajumlisha viongozi wazalendo WOTE wa Kizanzibari.


Mzee Jumbe alikuja kufahamika vipi mwisho wa utawala wake? Kwani Maalim Seif anaonekana na kufahamika vipi na Tanganyika? Dk. Salmin Amour alikuja kufahamika vipi mwisho wa utawala wake? Wenye kuitetea kweli Zanzibar ni Nchi wanafahamika kuwa ni Waarabu wenye kutaka kuirejesha Dola ya Kiislamu. Kwani Waislamu wa Zanzibar wakiwa watawala HURU wa Zanzibar si watakuwa tafauti gani na Waarabu Waislamu?


Na kila wakiukataa Uwarabu ili wakubalike basi sumu ya Uwarabu ndipo unapozidi kuchemshwa chunguni ikawachiwa ivunde. Jamani vita va propaganda havijaanza kwetu Wazanzibari na ndio maana hii safari imekuwa ndefu kutokea 1956 pale Nyerere alipozinuganisha African na Shirazi Associations.


Jee, Babu alikuwa adui wa Zanzibar na wa Afrika? Babu alikuwa adui wa nafsi yake. Babu aliipenda sana Zanzibar lakini mapenzi yake yalivaa miwani ya rangi ambayo siyo alioifanyia hisabu na kufanyiwa yeye na washiriki wake. Na tatizo mpaka kafa hakuusema undani wake ukafahamika na badala yake kawaachia wapenzi wake kazi ngumu ya kuwa hawawezi kusema ambalo Janab hakulisema kwenye uhai wake.


Babu hakuwa adui wa Zanzibar ingawa na yeye pia hakumfahamu, au hakutaka kumfahamu, adui wa Zanzibar ni nani kwa hiyo akatumiliwa na adui wa Zanzibar kumfanya yeye ndo adui nambari moja ili adui apitishe ufisadi wake.


Nina wasiwasi viongozi wazalendo wa Zanzibar wa hivi sasa wanakabiliwa na mtihani huohuo na ingawa haufanani sana na wa Babu, hatari ilioko juu yao kwa kutokumfahamu au kutokubali kumfahamu adui khasa wa Zanzibar kutakuja kukifanya kizazi cha baadae kuliuliza hili suala unaloliuliza wewe ndugu yangu BiSalma.


The greats from Zanzibar wanauliwa na kusahaulika mmojammoja kwa sababu the greats from Tanganyika hatujawafahamu ni kipi khasa wako tayari kukipigania kwa hali yoyote ile pamoja na kuuwa tena na tena ili Zanzibar isiwatoke?


Pazia la Zanzibar bado halijashuka!

Zanzibar ya sasa

obama

obama

obama

Thursday 11 February 2010

WORLD TRADE CENTRE



Something surprising happened while watching Oliver Stone's "World Trade Center" - I realized how much more I appreciated Paul Greengrass' "United 93." Greengrass' film was lean, stripped of any backstory for any of the characters. Very simply, it told what happened that horrible day on the plane - though he used some license - and didn't wallow in needless sentimentality.

Stone, on the other hand and rather surprisingly, seems to have gone out of his way to make something that would be so palatable and inoffensive that it would turn out rather bland, above anything else.

The 45 minutes of "World Trade Center" are terrific. After offering us quick glimpses into the lives of Port Authority cops John McLoughlin (Nicolas Cage) and Will Jimeno (Michael Pena), Andrea Berloff's script gets us right into the attacks on the Twin Towers.

The crumbling of the towers, which still is incredibly difficult to watch, let alone fathom, is handled with taste, but also is awfully gripping. We get a real sense of the terror and panic and then Stone gets the claustrophobic atmosphere right. With close-ups of Pena and Cage amidst the ruins, he gets us so close, we can almost taste the rubble and concrete dust.

But that's the last time we really see or feel any sense of genuine, gripping storytelling in this film. I realize criticizing a film about 9/11, especially one that displays its American stars and stripes so blatantly, is tantamount to treason these days. After all, as this administration and its minions love to point out, if you disagree with them, you're not only unpatriotic, but also an appeaser of the villains. It's poppycock, of course. Dissent is undoubtedly American, but these chaps so love draping themselves in the flag that jingoism overwhelms all reason. Why bother with rational thought when you can scare people?What struck me while watching the film is realizing how much goodwill was channeled toward the United States after the attacks and what's ultimately sad is how this president took all that goodwill and squandered it by launching an utterly pointless war in Iraq. We could have done so much good in the world, instead of now being one of the most hated nations in the world. And Bush has now turned 9/11 into a political slogan for political (and personal) gain.The problem with Stone's film isn't so much the story, but how Berloff chose to tell it. According to Berloff, cops, rescue workers, even family members tend to enjoy speaking in exposition. There are moments that surely someone of Stone's calibre should have realized needed to be rewritten because the dialogue seems mediocre at best.

THE ALAND Island


The Aland islands (Åland in Swedish, Ahvenanmaa in Finnish) are positioned between eastern Sweden and southwestern Finland, about 65 miles east of Stockholm, Sweden. The islands were originally settled by Nordic peoples, today called Alanders. The Aland people developed a specific genealogy, different from other Scandinavians, being both isolated and connected by sea. Still, Alanders are considered to be Swedes.THIS ISLAND HAS SAME CULTURE AND ZANZIBAR The Alanders were influenced by Swedish and Danish cultures in the early development of Scandinavia. Today, the Aland Islands are an autonomous and unilingually Swedish province of Finland. Aland is made up of over 6,500 islands and rocky outcrops covering 572 square miles. The largest island is called Fasta Åland (Main Island of Aland) where 90% of the population live. It extends over more than 70% of the total land area of Aland (see map on left). The population of Aland in the 18th century was about 11,000, inhabiting 80 of the islands. In 1905 there were some 22,000 inhabitants, living on 150 islands. Today just over 25,000 inhabitants live on only 65 of the islands. Nearly half the population live in Mariehamn, the only city in Aland. The smallest district, and also the smallest in all Finland, is the outer island district of Sottunga, with some 130 inhabitants.

BARACK OBAMA.

bARAC OBAMA NI RAIS WA MAREKANI ALIYELETA MAFANIKIO MAKUBWA NA KUONDOSHA UHASAMA KWA RAIA WAKE.OBAMA AMEKUWA AKIFANYA UHUSIANO NA MATAIFA MBALI MBALI AMBAYO HAPO KABLA YALIKUWA NA UHASAMA NA MAREKANI.MATAIFA HAYO NI UTURUKI,YEMENLIBYA NA MENGINEYO.

Jerry Murro.

MWANDISHI wa habari ambaye pia ni mtangazaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Jerry Muro, amepandishwa kizimbani kujibu mashitaka mawili likiwemo la kuomba rushwa ya sh milioni 10/=. Muro amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu, Dar es Salaam, pamoja na wanaodaiwa kuwa watuhumiwa sugu wa utapeli.
Muro ni mshitakiwa wa kwanza katika kesi hiyo, washitakiwa wenzake wawili wanakabiliwa na mashitaka matatu likiwemo linalowakabili wote la kuomba rushwa ya Sh milioni 10 kwa aliyekuwa Mhazini wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo, Michael Karoli. Washitakiwa wengine ni Edmund Kapama na Deogratias Mgasa.
Wakili wa Serikali, Boniface Stancilaus, na Wakili wa Taasisi ya Kuzuia na Kuapambana na Rushwa (TAKUKURU) Benny Lincolin, wamedai mahakamani kuwa, Januari mwaka huu washitakiwa hao na wengine ambao bado hawajakamatwa walipanga njama za kutenda kosa. Kwa mujibu wa mawakili hao, Januari 29 mwaka huu, Muro na wenzake walimuomba Karoli rushwa ya sh milioni 10. Mahakama imeelezwa kuwa, washitakiwa hao waliomba rushwa hiyo katika hoteli ya Sea Cliff, iliyopo katika ufukwe wa Bahari ya Hindi, Dar es Salaam. Mawakili hao wamesema, washitakiwa hao walikiuka kifungu cha 15(1) cha sheria ya kuzuia na kupambana na rishwa cha mwaka 2007. Katika mashitaka ya tatu, ilidaiwa mahakamani kuwa, Januari 29 mwaka huu, katika hoteli ya Sea Cliff, Kapama na Mgasa, walimdanganya Karoli kuwa wao ni maofisa wa Takukuru.
Washitakiwa hao wamekana mashitaka, upande wa mashitaka uliiomba mahakama iwanyime dhamana kwa madai kuwa wanaweza kuharibu upelelezi. Upande wa mashitaka pia ulidai kuwa, mshitakiwa wa pili na wa tatu waliwahi kuhukumiwa miaka mitatu kutokana na makosa ya utapeli. Hakimu Mkazi, Gabriel Mirumbe, alikataa ombi hilo kwa kuwa upande wa mashitaka umeshindwa kuwasilisha vielelezo kuhusu hukumu hiyo. Hakimu huyo alitoa masharti ya dhamana kwa kuwataka washitakiwa wapeleke wadhamini awili watakaosaini hati ya dhamana ya Sh milioni tano kila mmoja. Muro na Kapama walitimiza masharti hayo, wapo nje kwa dhamana, Mgasa amerudishwa rumande, kesi hiyo itatajwa tena Februari 12, mwaka huu.

Polisi walimkamata Muro, Januari 31 mwaka huu mchana, katika hoteli ya City Garden, Dar es Salaam, akidaiwa kutaka apewe rushwa ya Sh milioni 10.

source by
HABARI LEO

green belt movement

Since 2007 the Green Belt Movement of Kenya has partnered with the Lambi Fund of Haiti to address economic and environmental challenges at the grassroots level. Now this unique long-term partnership is adapting to the effects of the devastating earthquake last month.

Learn more about what’s been achieved already and our shared goals for sustainable development in Haiti.
Latest News
Delhi Sustainable Development Summit
A Statement by Professor Wangari Maathai
By Wangari Maathai
Delhi Sustainable Development Summit, February 7, 2010
In Copenhagen, people’s expectation was that delegates would have an ambitious and legally-binding agreement. Because this was not achieved many were disappointed. However, we did move forward especially politically. We have to continue working with governments, the business sector, civil society and citizens in order to overcome the obstacles identified.[Read More...]

Tuesday 9 February 2010

hujambo.

Neno hujambo ni maamkizi ya kizanzibar.neno hili hutumika wakati wowowte kuanzia asubuhi jioni hata usiku.

Monday 8 February 2010

zanzibarmpya

By the end of this course, you should:
Have a basic understanding of Internet terms and what they mean.
Be able to send and receive email and email attachments.
Know how to find a Web page on the Internet.
Figure out who has registered a site and when it was registered.
Be able to search effectively, by using different search strategies (narrowing or broadening your search terms) and by using different search engines.
Bookmark sites on the Web you find useful
Be proficient with an Internet browser, including saving a page from the Web to your computer.
Apply everything above to researching and preparing news stories.